
Mara baada ya uapisho
wa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Rais Samia Suluhu Hassani, amefanya
mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri.
Akitangaza leo
mabadiliko ya Baraza hilo leo tarehe 31/1/2021 Ikulu Chamwino Dodoma, Rais
Samia amemteua
1. Prof.Palamagamba Kabudi- Wizara Ya Sheria Na
Katiba kutoka Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki.
2. Dkt. Mwigulu Nchemba- Wizara Ya Fedha Na
Mipango kutoka Wizara Ya Sheria Na Katiba.
3. Ummy Mwalimu- Ofisi Ya Rais Tawala Za Mikoa Na
Serikali Za Mitaa (Tamisemi) kutoka Ofisi Ya Makamu Wa Rais Na Muungano.
4. Selemani Jaffo- Ofisi Ya Makamu Wa Rais Na
Muungano kutoka Ofisi Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa (Tamisemi).
5. Geofrey Mwambe- Ofisi Ya Waziri Mkuu,
Uwekezaji kutoka Wizara Ya Viwanda , Biashara Na Uwezeshaji.
6. Balozi. Liberata Mulamula- Wizara Ya Mambo Ya
Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki.
7. Mohamed Mchengerwa – Ofisi Ya Rais Utumishi Wa
Umma Na Utawala Bora.
8. Prof. Kitila Mkumbo- Wizara Ya Viwanda, Biashara
Na Uwezeshaji kutoka Ofisi Ya Rais, Uwekezaji.
Aidha Ameteua Wafuatao
Kuwa Manaibu Waziri.
1. Geophrey Mizengo Pinda Kuwa Naibu Waziri Wa
Sheria Na Katiba
2. Willium Ole Nasha Kuwa Ofisi Ya Waziri Mkuu,
Uwekezaji
3. Hamad Hassan Chande Kuwa Naibu Waziri Wa Ofisi
Ya Makamu Wa Rais ,Muungano Na Mazingira.
4. Hamad Massaun Yusuph Kuwa Naibu Waziri Wa
Fedha Na Mipango
5. Balozi. Mbarouk Nassor Mbarouk Naibu Waziri Wa
Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki.
6. Mwanaid Ale Hamis Naibu Waziri Wizara Ya Afya,
Jinsia Na Watoto, Atakayeshughukikia Maendeleo Ya Jamii Wanawake Na Watoto.
7. Pauline Gekul Wizara Ya Habari, Utamaduni Na
Michezo kutoka wizara ya mifugo na uvuvi.
8. Abdallah Ulega Kuwa Waziri Wa Mifugo Na Uvuvi
kutoka wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo.
Pia Mh.Rais Amewateua
Wafuatao Kuwa Wabunge Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
1. Balozi. Liberata Mulamula
2. Balozi. Mbarouk Nassor Mbarouk
3. Balozi Bashiru Kakurwa
Pia Amemteua Balozi
Hussein Kattanga Kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga Anachukua Nafasi Ya
Balozi Bashiru Kakurwa Ambaye Ameteuliwa Kuwa Mbunge.
Aidha, Wizara Ya
Uwekezaji Imerudishwa Ofisi Ya Waziri Mkuu.
Leave a comment