Uchumi

Tanzania Kunufaika na Ufadhili Kutoka Ujerumani

Serikali ya Ujerumani imetoa euro milioni 20 (shilingi bilioni 56) kwa Serikali ya Tanzania kusaidia katika kupambana na madhara ya Covid-19 katika sekta ya utalii.K...

MISRI: Meli ya Ever Given Yawekwa Kizuizini Mpaka Itakapokamilisha Fidia

Mamlaka inayosimamia Mfereji wa Suez imesema kuwa Meli ya Evergreen ambayo ilizuia Mfereji wa Suez na kukwamisha shughuli za biashara kwa takribani wiki moja imezu...

MISRI: Meli ya Ever Given Yawekwa Kizuizini Mpaka Itakakamilisha Fidia

Mamlaka inayosimamia Mfereji wa Suez imesema kuwa Meli ya Evergreen ambayo ilizuia Mfereji wa Suez na kukwamisha shughuli za biashara kwa takribani wiki moja imezu...

Diamond Platnumz Alamba Ubalozi Itel

Mwanamziki nguli wa Tanzania Diamond Platnumz kutoka lebo ya Wcb Leo Tarehe 01/4/2021 ametangaza kuingia Mkataba wa kuwa Balozi wa Bidhaa za Kampuni ya Simu za mko...

Tanzania yahusishwa katika mzozo wa majini kati ya Somalia na Kenya katika Mahakama ya Kimataifa ya ICJ

Nchi ya Somalia siku ya Jumanne iliiambia Mahakama ya Umoja wa Mataifa kwamba suala la Kenya kumiliki eneo lenye ukumbwa wa kilomita za mraba 160,000 katika bahari...

Watatu Mbaroni kwa Usafirishaji wa Vinyonga na Nyoka Kinyemela

Watanzania watatu watiwa mbaroni kwa wakituhumiwa kushirikiana na Jamhuri ya Czech wakituhumiwa kusafirisha nje ya nchi vinyonga 74 na nyoka 6.Kupitia vyombo vya h...