Teknolojia

Ujerumani Mbioni kuhalalisha Ufanyaji Kazi Kutoka Nyumbani

Nchi ya Ujerumani iko mbioni kuchapisha sheria itakayohalalisha mtu kufanya kazi akiwa mazingira ya nyumbani. Ujerumani imesema kuwa inataka kuwapa raia wake haki...

Pakistan Yapiga Marufuku Aplikesheni ya TikTok kwa Maudhui yenye Uvunjifu wa Maadili

Mamlaka ya Mawasiliano nchini Pakistan (PTA) imepiga marufuku aplikesheni ya TikTok kwasababu inaweka maudhui yasiyo na maadili. "Tumepokea malalamiko kadhaa ku...

Aplikesheni Mpya ya Malipo ya Kidigitali Yazinduliwa Tanzania

Kampuni ya huduma za kifedha ya kimataifa ya Mastercard na kampuni ya Kitanzania inayotoa huduma za malipo Selcom wametangaza uzinduzi wa programu tumishi mpya ya ku...

Teknolojia: Sasa Unaweza Kufuatilia Simu yako ya Samsung Iliyoibiwa kwa Kutumia Find My Mobile Hata Kama Data Imezimwa

Sini ya Find My Mobile ya simu za Samsung Itaanza kufanya kazi hata pale ambapo simu yako haijaunganishwa na data. Kwa maana rahisi, ikiwa mtu ataiba simu yako na ku...

Teknolojia ya Masoko, Fursa kwa Wajasiriamali Wasichana: Je, Wanaichangamkia?

Changamoto katika biashara ni nyingi na hutokea mara nyingi, lakini changamoto inayoweza kumrudisha nyuma mfanyabiashara ni ile ambayo ina uhusiano wa moja kwa moja...

Kampuni ya Scania Kuleta Mabasi Yanayotumia Gesi Asili Tanzania

Kampuni kubwa ya uzalishaji magari duniani ya Scania imesema kuwa imedhamiria kuleta mabasi yatanayoendeshwa kwa kutumia gesi nchini Tanzania kwani yatakuwa ni muhim...