Stori

#Maisha: Mama Amsaidia Binti Yake Kubeba Mimba kwa Kupandikiza Mbegu za Mkwe Wake

Bibi Julie Loving amejifungua mjukuu wake baada ya binti yake Breanna Lockwood kumuomba  amsaidie kumzalia mtoto.Lockwood, mwenye umri wa miaka 29, na Aaron w...

Mabaki ya Miili ya Watu Wawili, Mtumwa na Tajiri wake Yavumbuliwa huko Pompeii Baada ya Miaka 2000 Kupita

Wanaikolojia na wachimbuzi wa miili ya watu wa kale nchini Italy wamegundua mabaki ya wanaume wawili waliochomwa hadi kufa na mlipuko wa volkano ulioharibu mji wa ka...

Umoja wa Afrika (AU) Wamfuta Kazi Mkuu Wake wa Usalama kwa Tuhuma za Usaliti

Raia wa Ethiopia Gebreegziabher Mebratu Melese ambaye ni Mkuu wa Masuala ya Usalama wa Umoja wa Afrika (AU) amefutwa kazi na Mwenyekiti wa Umoja huo, Moussa Faki M...

Papa Francis Aonyesha Viashiria Vya Kuunga Mkono Mapenzi ya Jinsia Moja.

Katika makala ambayo ilionyeshwa Jumatano huko Roma, Papa Francis alisikika akitaka kupitishwa kwa sheria za umoja wa kiraia kwa wenzi wa jinsia moja.Maneno hayo y...

Mafia wa Sicily: 'Chatu' wa Mediterranean Aliyemeza Serikali ya Palermo Zaidi ya Karne Moja na Nusu (Sehemu ya Tatu)

Tangu upite muongo mmoja tu na kushuhudia kipindi cha vita baina yao kumalizika mwaka 1968, na baadaye kufuata mafanikio makubwa ya kifedha kutoka katika biashara ya...

Mafia wa Sicily: 'Chatu' wa Mediterranean Aliyemeza Serikali ya Palermo Zaidi ya Karne Moja na Nusu (Sehemu ya Pili)

Inatoka Sehemu ya Kwanza:Benito Mussolini na oparesheni kali dhidi ya mafia kisiwani.————————————————————————Kwa mara ya kwanza mafia wa Sicily walikutana na mk...