Siasa

Rais Magufuli: Walionizidi Umri wasahau Urais, Kabudi na Lukuvi Hatuwezi Kuwapitisha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli juzi Novemba 16 2020 amemuapisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, baada ya kuidhinishwa wiki il...

Umoja wa Afrika (AU) Wamfuta Kazi Mkuu Wake wa Usalama kwa Tuhuma za Usaliti

Raia wa Ethiopia Gebreegziabher Mebratu Melese ambaye ni Mkuu wa Masuala ya Usalama wa Umoja wa Afrika (AU) amefutwa kazi na Mwenyekiti wa Umoja huo, Moussa Faki M...

Ufaransa Yaamuru Mfadhili wa Mauaji ya Kimbari Rwanda Kushitakiwa Tanzania

Mahakama ya rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Felicein Kabuga, kushtakiwa nchini Tanzania. Bwana Kabuga alikamat...

TBC, CHADEMA Wamaliza Tofauti Zao

Mgogoro kati ya Shirika la Utangazaji nchini Tanzania na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umemalizika baada ya viongozi wakuu wa aasisi hizo kukutana na...

NEC: Wasimamizi wa Uchaguzi Majimbo na Kata Muwepo Ofisini Kuanzia Saa 1 hadi 10 Jioni

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya majimbo na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata kuwepo kwenye ofisi zao kesho tar...

Yanayojiri Zimbabwe, Je, Mnangagwa ni Mugabe Mpya?

Zimbabwe imeingia katika vichwa vya habari katika vyombo mbalimbali vya habari duniani baada ya jeshi la polisi nchini humo kusambaratisha maandamano na kuwakamata w...