Michezo

Mashabiki Waishukia Simba, Ni Baada ya Simba Kuituhumu Yanga na Kutaka Ishushwe Daraja kwa Kugomea Mchezo

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Soka Tanzania Bara, timu ya Simba imetoa tamko jioni ya Jumapili Mei 9, 2021 ikieleza kutokufurahishwa kwake na hatua iliyochukuliwa na...

CAF: Simba Mashabiki 10,000 tu kwa Mkapa

CAF: Simba Mashabiki 10,000 tu kwa Mkapa Shirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limefikia uamuzi wa kuruhusu Klabu ya Mpira ya Simba kutoka nchini...

Simba Yashinda Rufaa Dhidi ya Al Merrikh

Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limetoa hukumu juu ya rufaa iliyofunguliwa tarehe 21/3/2021 na timu ya mpira wa miguu ya Al Merrikh inayoshiriki l...

Motsepe Atayaweza Makandokando ya Soka la Afrika?

Bilionea wa Afrika Kusini, Patrice Motsepe, amechaguliwa bila kupingwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Kandanda barani Afrika, CAF, kwenye mkutano mkuu wa uliofany...

Pitso Mosimane Uso kwa Uso na "Total War" ya Msimbazi

Shirika la habari la nchini Marekani CNN limemtaja kama Pep Gardiola wa mpira wa Afrika kwenye makala inayoelezea mchezo wa nusu fainali wa Mabigwa wa vilabu...

Yanga Yalalamikia Kuvurugwa kwa Mipango Yake ya Ubingwa

Kunyemelewa na watani zao wa Jadi Klabu ya simba katika msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara ndio mzimu unaoutesa Klabu ya Yanga kwa hivi sasa wakati ambapo baad...