Maoni

MAONI: Wasanii wa Nigeria Wanavyoacha Alama Katika Taifa lao; Je Wasanii wa Tanzania Wanatimiza Wajibu wao Kwa Jamii?

Na Michael MallyaNimetamani kuandaa makala iliyojaa maswali juu ya maswali walau nipunguze maoni yangu katika mada hii lakini bado kiu yangu ya kutoa maoni imenisuku...

Ubaguzi wa Rangi: 'Unafiki' wa Priyanka Chopra Mitandaoni Wamwingiza Matatani

Nini kinakuja kichwani mwako  unapoona mtu anapingana vikali na ubaguzi wa rangi huku akiendelea kuhamasisha matumizi ya bidhaa za kujichubua ngozi ili kuwa...

Hedhi Salama ni Haki ya Msichana

Hedhi si jambo jipya kwenye jamii, kwani limekuwepo tangu binadamu alipoanza kuwepo duniani. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya duniani, ikiwamo Afrika, na Tanzania...

Uchambuzi: Siasa ya Trump Inavyoigharimu Marekani Katika Mapambano ya Corona

Wakati visa vya maambukizi ya virusi vya homa kali ya mapafu, corona au COVID-19 vikiendelea kuongezeka kote duniani, Marekani inaonekana kuingiza siasa zaidi kat...

Utamu na Uchungu wa Hukumu ya Mahakama Kuu Juu ya Watuhumiwa Kunyimwa Dhamana

Wiki hii, mitandaoni na kwenye tasnia ya sheria kumetokea habari njema juu ya suala zima la dhamana kwa watuhumiwa wa makosa mbalimbali. Habari hiyo ni uharamishwaji...

Sheria za Kukabiliana na Dawa za Kulevya Zinatumika kwa Usahihi?

Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kesi nyingi zinazohusisha dawa za kulevya nchini Tanzania zikiwagusa watu wa aina zote, yaani maarufu na wasio maarufu. Uendesh...