Maendeleo Endelevu

BrighterMonday Tanzania yaja na suluhisho kwa waajiri wakati huu wa mlipuko wa corona

Mlipuko wa homa kali ya mapafu, COVID-19 au Virus via Corona, umeleta athari katika nyanja mbalimbali za kiuchumi kote duniani, ikiwemo sekta ya ajira. Baadhi ya mak...

Programu ya ‘Umoja Wakati wa Shida’ kusaidia Waajiri Kukabiliana na Athari za Janga la Corona

Kampuni ya uajiri na usimamizi wa rasilimali watu ya BrighterMonday Tanzania imeanzisha programu iitwayo ‘Umoja Wakati wa Shida’ inayotoa nafasi kwa waajiri (makampu...

Ushiriki wa Wanawake Katika Ufuatiliaji wa Miradi Waongezeka

Wanawake ni chachu ya maendeleo katika jamii. Tukiangazia jamii zetu hasa katika maeneo ya vijijini, wanawake wamekuwa wakibaki nyuma kwenye kuchangia hoja zao na ku...

Historia ya Roots and Shoots Clubs chini ya Jane Goodall Institute ina Umuhimu gani kwa Tanzania?

Roots and Shoots ni nini na kwanini Watanzania tunapaswa kujivunia, kujali au kufahamu historia yake? Tuanze kwa kufahamu Dkt Jane Goodall. Oktoba 1960, akiwa binti...

Kwanini Shirika au Taasisi Yako Inahitaji Mkakati wa Mawasiliano (Communication Strategy)?

Lengo kuu la Mkakati wa Mawasiliano (Communications Strategy) wa shirika au taasisi ni kufanikisha dhana nzima ya mawasiliano ya kimkakati baina ya shirika, wafanyak...