Kitabu cha ‘Dear Girl Child’ kinavyoelezea Mapito ya Mtoto wa Kike na Msichana wa Kitanzania
“Dada anaumia, kabeba maumivu katika umri aliotakiwa aonyeshwe upendo, anakimbilia wapi? Akitizama mbele anaona kisu, akitizama nyuma anaona shela akiangalia kushoto...