Maendeleo Endelevu

Sauti Kutoka kwa Wakimbizi: Hadithi ya Barthelemy, Mkimbizi Kutoka Burundi Anayeishi na Kufanya Kazi Tanzania

Barthelemy ni mkimbizi kutoka Burundi na mfanyakazi wa shirika la Médecins Sans Frontières, au kwa Kiingereza, Doctors Without Borders (MSF) kwenye kambi ya wakimbiz...

Maendeleo Endelevu: Fahamu Mfumo wa Ufuatiliaji wa Miradi Katika Jamii Yako

Miradi na huduma mbalimbali hutekelezwa na kutolewa kwa faida ya wananchi. Kuna miradi kama ya miundombinu kama maji, zahanati, shule na miradi inayohusu utoaji wa e...

Hedhi Salama ni Haki ya Msichana

Hedhi si jambo jipya kwenye jamii, kwani limekuwepo tangu binadamu alipoanza kuwepo duniani. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya duniani, ikiwamo Afrika, na Tanzania...

Afrika: Tamaduni 5 za Kushangaza Kuhusu Mapenzi

Bara la Afrika lina utajiri wa mila na tamaduni nyingi ambazo baadhi yao zinavutia na nyingine zinaweza kukuacha kinywa wazi na kujiuliza ikiwa kuna watu walishawahi...

Waziri Ummy Asisitiza Malezi Bora Ndani ya Familia

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wazazi na walezi nchini kufanya tathimini juu ya fursa na changamoto zilizopo kat...

Ifahamu Jumuiya ya Afrika Mashariki

Jumuiya ya Afrika mashariki ni Muungano wa kikanda unaouhisha nchi zilizopo katika eneo la Mashariki mwa Afrika ambazo ni Jamhuri za Kenya, Uganda, Jamhuri ya Muunga...