Maendeleo Endelevu

Kampeni ya Uwajibikaji wa Jamii Kupitia Vijana yawanufaisha watu wanaoishi na Ulemavu Dodoma, Morogoro na Iringa.

Shirika la Raleigh Tanzania kupitia kampeni ya Uwajibikaji wa Jamii Kupitia Vijana yenye kauli mbiu #Nawajibika yaendelea kuwafikia wananchi katika mkoa wa Dodoma, M...

Changamoto Wanazopitia akina Mama Waliotelekezwa na Watoto (Single Mothers)

Malezi ya mtoto huwa si kazi rahisi, ikiwa ni pamoja na kumuogesha, kumfulia, kumpa chakula na kuhakikisha afya nzuri na elimu bora ya mtoto. Hali hii ni ngumu zaidi...

BrighterMonday Yazindua Kijitabu cha Mwongozo kwa Mwajiri (Employer Handbook)

BrighterMonday yazindua Kijitabu cha Mwongozo kwa Mwajiri (Employer Handbook) kinachoangazia namna bora za kufanya usimamizi wa rasilimali watu wakati wa majanga kam...

Teknolojia ya Masoko, Fursa kwa Wajasiriamali Wasichana: Je, Wanaichangamkia?

Changamoto katika biashara ni nyingi na hutokea mara nyingi, lakini changamoto inayoweza kumrudisha nyuma mfanyabiashara ni ile ambayo ina uhusiano wa moja kwa moja...

Je, Inawezekana Mtoto Wako Kuepuka Vishawishi na Msukumo wa Makundi-rika?

Waingereza huita, ‘peer-pressure’, yaani msukumo wa kitabia na mienendo kutoka kwenye makundi-rika kwa lugha ya Kiswahili. Watoto katika umri tofauti wa ukuaji wao w...

Ufaransa Yaidhinisha Mkopo wa Shilingi Bilioni 600 kwa Tanzania

Serikali ya Tanzania imetiliana saini makubaliano na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) ya mkopo wenye thamani ya Euro milioni 230, sawa na takribani shilingi bi...