Maendeleo Endelevu

Her Initiative Yazindua Jukwaa la Panda Digital Kuwezesha Wasichana Kujitegemea Kiuchumi

Shirika la Her Initiative kwa kushirikiana na Kampuni ya Serengeti Bytes limezindua jukwaa la kidigitali ambalo ni jukwaa la kwanza la kiswahili lenye lengo la kuw...

Wafanyabiashara Wadogo Morogoro Wapewa Mbinu za Kutibu Maji

Wafanyabiashara wadogo katika soko la Mawenzi, soko la Madizini na soko la Mji Mpya yaliyopo katika manispaa ya mji wa Morogoro wamejengewa uwezo wa namna ya kutumia...

Serikali: Hatuna Fedha ya Kutengeneza Barabara ya Tanga - Morogoro

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekiri kukosa Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Barabara ya kutoka Tanga mpaka Morogoro kwa kiwango cha Lami.Hayo yameelezwa...

Wizara ya Uwekezaji Ondoeni Vikwazo, Tanzania Sio Kisiwa; Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameziagiza Wizara ya Ofisi Ya Waziri Mkuu, Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwezeshaji...

Serikali Yatangaza Tahasusi Mpya Kidato cha 5, 2021

Serikali imetangaza tahasusi (Combination) mpya kwa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi mwaka 2021 lengo likiwa ni kuondoa ch...

Vijana 48,000 Kufikiwa na Kampeni ya Kuhamasisha Usafi

Shirika linalojihusisha na kuhamasisha vijana kuchukua hatua chanya katika kuchochea maendeleo, Raleigh Tanzania leo limezindua kampeni iliyopewa jina la 'Kijana Ni...