Maisha

#Maisha: Mama Amsaidia Binti Yake Kubeba Mimba kwa Kupandikiza Mbegu za Mkwe Wake

Bibi Julie Loving amejifungua mjukuu wake baada ya binti yake Breanna Lockwood kumuomba  amsaidie kumzalia mtoto.Lockwood, mwenye umri wa miaka 29, na Aaron w...

Ujerumani Mbioni kuhalalisha Ufanyaji Kazi Kutoka Nyumbani

Nchi ya Ujerumani iko mbioni kuchapisha sheria itakayohalalisha mtu kufanya kazi akiwa mazingira ya nyumbani. Ujerumani imesema kuwa inataka kuwapa raia wake haki...

Papa Francis Aonyesha Viashiria Vya Kuunga Mkono Mapenzi ya Jinsia Moja.

Katika makala ambayo ilionyeshwa Jumatano huko Roma, Papa Francis alisikika akitaka kupitishwa kwa sheria za umoja wa kiraia kwa wenzi wa jinsia moja.Maneno hayo y...

Ni Wakati Gani Sahihi Kuogea na Mwanao Kuhusu Balehe?

Kama mzazi, ulishawahi kuwa kwenye hali ambayo hujui cha kufanya pindi mtoto wako anapofikia umri wa balehe?Balehe ni suala la kawaida kwa binadamu lakini linakuw...

Changamoto Wanazopitia akina Mama Waliotelekezwa na Watoto (Single Mothers)

Malezi ya mtoto huwa si kazi rahisi, ikiwa ni pamoja na kumuogesha, kumfulia, kumpa chakula na kuhakikisha afya nzuri na elimu bora ya mtoto. Hali hii ni ngumu zaidi...

Jinsi Malumbano ya Wazazi Yanavyowaathiri Watoto Ndani ya Familia

Katika miaka ya hivi karibuni malumbano ndani ya nyumba zetu yameshika hatamu. Tumeshuhudia tabia iliyozoeleka kwa wazazi - baba na mama wakipigana, kurushiana manen...