Tanzania

Ni kwa Namna Gani Sampuli za Bure Huishia Kugharimu Pesa Yako?

Fikiria siku ambazo ulikuwa unazunguka tu kwenye maduka makubwa ili uone duka gani siku hiyo linagawa sampuli za bidhaa zao bure. Sampuli za bure ziko kila mahali...

Tanzania Miongoni mwa Nchi 10 Zilizowekewa Vikwazo vya Usafiri kwa Muda Oman

Serikali ya Oman imetoa orodha ya nchi 10 ambazo zimezuliwa kuingia nchini humo chini ya uamuzi wa hivi karibuni uliopitishwa na Kamati Kuu ya kushughulikia janga...

Serikali Yasema Kutoa Takwimu ni Kuwatisha Wananchi

Serikali imesema kuwa haitatoa takwimu za maambukizi ya virusi vya corona kwani kufanya hivyo ni kuongeza hofu kwa wananchi hali itakayopunguza kinga za...

Serikali Kutumia Ndege Kudhibiti Nzige

Serikali nchini Tanzania imetangaza kuanza kutumia ndege kunyunyizia dawa makundi ya nzige yaliyovamia wilaya ya Longido na Simanjiro wakitokea nchini Kenya.Taarif...

Rais Magufuli Asisitiza Matumizi ya Barakoa za Ndani, Awataka Watanzania Kuzidisha Maombi na Kujifukiza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amesema kuwa serikali haijakataza matumizi ya barakoa katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya coron...

Pitso Mosimane Uso kwa Uso na "Total War" ya Msimbazi

Shirika la habari la nchini Marekani CNN limemtaja kama Pep Gardiola wa mpira wa Afrika kwenye makala inayoelezea mchezo wa nusu fainali wa Mabigwa wa vilabu...