Duniani

#Maisha: Mama Amsaidia Binti Yake Kubeba Mimba kwa Kupandikiza Mbegu za Mkwe Wake

Bibi Julie Loving amejifungua mjukuu wake baada ya binti yake Breanna Lockwood kumuomba  amsaidie kumzalia mtoto.Lockwood, mwenye umri wa miaka 29, na Aaron w...

Miili ya Watu Wawili, Mtumwa na Tajiri wake Yavumbuliwa huko Pompeii Baada ya Miaka 2000 Kupita

Wanaikolojia na wachimbuzi wa miili ya watu wa kale nchini Italy wamegundua mabaki ya wanaume wawili waliochomwa hadi kufa na mlipuko wa volkano ulioharibu mji wa ka...

Virusi vya Corona: Hospitali za Marekani Zashuhudia Ongezeko la Wagonjwa kwa Idadi Iliyovunja Rekodi

 Idadi ya Wamarekani waliolazwa hospitalini na Covid-19 imefikia viwango vya juu vilivyovunja rekodi Jumanne, ambapo zaidi ya visa vipya milioni moja zilithibit...

Ujerumani Mbioni kuhalalisha Ufanyaji Kazi Kutoka Nyumbani

Nchi ya Ujerumani iko mbioni kuchapisha sheria itakayohalalisha mtu kufanya kazi akiwa mazingira ya nyumbani. Ujerumani imesema kuwa inataka kuwapa raia wake haki...

Papa Francis Aonyesha Viashiria Vya Kuunga Mkono Mapenzi ya Jinsia Moja.

Katika makala ambayo ilionyeshwa Jumatano huko Roma, Papa Francis alisikika akitaka kupitishwa kwa sheria za umoja wa kiraia kwa wenzi wa jinsia moja.Maneno hayo y...

China Yapeleka Wanajeshi 60,000 Kwenye Mpaka na India

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amesema kuwa China imepeleka wanajeshi 60,000 mpakani na India, ikiashiria kuwa mgogoro unaofukuta kuhusu eneo la mpa...