Afrika

Serikali ya Ethiopia Yafunga Akaunti za Benki Zinazohusishwa na Waasi wa TPLF

Serikali ya Ethiopia Jumanne ilifunga akaunti za benki za biashara zinazohusishwa na viongozi wa Chama cha Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) Mwanasheria Mkuu wa...

UGANDA: Maandamano ya Kupinga Bobi Wine Kukamatwa, 16 Wafariki, 60 Wajeruhiwa na 300 Wako Lupango

Watu 16 wamefariki mpaka sasa katika maandamano yanayoendelea nchini Uganda wakipinga kukamatwa kwa mgombea urais, Bobi Wine. Polisi wamesema jumla ya watu 6...

Maandamano ya Kupinga Kukamatwa Bobi Wine Yaibuka Uganda, Watano Wafariki

Maandamano yameibuka leo jijini Kampala nchini Uganda baada ya Jeshi la Polisi kumkamata mgombea Urais wa Upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine.Bwana...

Shepherd Bushiri, Muhubiri Tajiri Aliyetoroka Afrika Kusini kwa Tuhuma za Utakatishaji Fedha Amekamatwa Nchini Malawi

Na Jackline MgeniMuhubiri mwenye Ukwasi, Shepherd Bushiri amekamatwa nchini Malawi alikokimbilia kukwepa mashtaka yanayomkabili, huku akikikiuka masharti ya dhamana...

Muhubiri Shepherd Bushiri Atoroka Mkono wa Sheria Afrika Kusini na Kukimbilia Malawi

Muhubiri wa milionea ambaye Maisha yake binafsi na utumishi wa kiimani umegubigwa na utata Shepherd Bushiri, ambaye alikuwa nje kwa dhamana nchini Afrika Kusini kati...

Mfahamu Mwanamama Diezani Alison-Madueke wa Nigeria, Anayetafutwa Kwenye Nchi Tatu kwa Makosa ya Ubadhirifu Mkubwa Katika Historia

Mwanasiasa wa Nigeria na Rais wa kwanza mwanamke wa Jumuiya ya Nchi Zinazozalisha Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC), Diezani K. Alison-Madueke amekuwa kwenye haba...