Habari

Ufisadi wapelekea FIFA kumfungia Rais wa CAF kwa miaka mitano

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limemfungia kwa miaka mitano Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, Ahmad Ahmad baada ya kukutwa na h...

Mabaki ya Miili ya Watu Wawili, Mtumwa na Tajiri wake Yavumbuliwa huko Pompeii Baada ya Miaka 2000 Kupita

Wanaikolojia na wachimbuzi wa miili ya watu wa kale nchini Italy wamegundua mabaki ya wanaume wawili waliochomwa hadi kufa na mlipuko wa volkano ulioharibu mji wa ka...

Serikali ya Ethiopia Yafunga Akaunti za Benki Zinazohusishwa na Waasi wa TPLF

Serikali ya Ethiopia Jumanne ilifunga akaunti za benki za biashara zinazohusishwa na viongozi wa Chama cha Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) Mwanasheria Mkuu wa...

Kauli za Umoja wa Ulaya, Marekani, Canada zamuibua Kabudi, Asema Tanzania ni Taifa Huru

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi amesema Tanzania itashirikiana na nchi yoyote duniani ambayo inatambua n...

UGANDA: Maandamano ya Kupinga Bobi Wine Kukamatwa, 16 Wafariki, 60 Wajeruhiwa na 300 Wako Lupango

Watu 16 wamefariki mpaka sasa katika maandamano yanayoendelea nchini Uganda wakipinga kukamatwa kwa mgombea urais, Bobi Wine. Polisi wamesema jumla ya watu 6...

Upungufu wa Mtaji Wapelekea BoT Kuchukua Usimamizi wa Benki ya Biashara ya China

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuchukua usimamizi wa Benki ya Biashara ya China kuanzia leo Novemba 19, 2020. Uamuzi huo umefikiwa baada ya Benki Kuu...