Fursa

Picha na Video na NASA Kutoka Sayari ya 'Mars'

Tukio hilo lina kuja siku nne baada ya Shirika la Anga za Juu la Marekani (Nasa) kufanikiwa kuwezesha kutua salama kwa chombo chake cha Perseverance rover katika&n...

Mitego 4 ya Kisaikolojia Inayotumiwa na 'Supermarkets' Kukurubuni Ufanye Manununuzi

Umewahi kujiuliza kwanini takribani supermarket zote zina mpangilio unaofanana? Hii sio bahati mbaya. Ni matokeo ya majaribio ya ujanja wa kisaikolojia katika jiti...

Teknolojia ya Masoko, Fursa kwa Wajasiriamali Wasichana: Je, Wanaichangamkia?

Changamoto katika biashara ni nyingi na hutokea mara nyingi, lakini changamoto inayoweza kumrudisha nyuma mfanyabiashara ni ile ambayo ina uhusiano wa moja kwa moja...

Teknolojia Kurahisisha Usahili yaja Tanzania

Kampuni ya usahili Tanzania imeunda na kuzindua mfumo wa kupima uwezo na ufanisi wa waombaji wa ajira kupitia teknolojia. Zana hiyo iliyopewa jina la ‘Skills Assessm...

Wataalamu wa Sekta ya Rasilimali Watu na Wadau wa Sekta ya Uchumi Kukutana Mtandaoni

Wakati janga la Corona limeathiri njia za ufanyaji kazi duniani kote, kampuni nyingi duniani zimelazimika kutafuta namna mpya ya ufanyaji kazi. Nchini Tanzania, kamp...

Mambo Matano Yatakaoyoongeza Ufanisi Wa Biashara Au Taasisi Yako Mtandaoni

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na Symantec unaonesha kwamba makampuni makubwa yanapoteza wastani wa dola milioni 4.3 au shilingi bilioni 10 za kitanzania...