Burudani

Davido Avunja Mkataba na Lil Frosh kutokana na Unyanyasaji Dhidi ya Wanawake

Ulishawahi kufikiria athari zinazoweza kujitokeza kama mtu atajihusisha na unyanyasaji dhidi ya wanawake?Picha zilizosambaa mtandaoni siku ya Jumatatu zilimuonesha...

Mfahamu Mtunzi wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania

Enoch Mankayi Sontonga - Mtunzi wa Nyimbo ya taifa "Mungu ibariki" alizaliwa mwaka 1873 nchini Afrika Kusini katika moja ya kabila maarufu la Xhosa mji wa Uitenhage,...

Barua ya Mapenzi kwa Afrika: Beyonce aachia rasmi albamu ya Black Is King

Malkia wa muziki wa pop duniani, Beyonce, ameaachia rasmi albamu yake ya video inayokwenda kwa jina la ‘Black Is King’ Ijumaa Julai 31, 2020. Beyonce ambaye ameendel...

#Burudani: Ali Kiba Amfuta Kazi Meneja Wake. Asema Hana Uzoefu wa Kusimamia Wasanii

Msanii nguli wa BongoFleva nchini Ali Kiba maarufu kama #KingKiba amethibitisha kuwa ameacha kufanya kazi na Meneja wake, Esi Magimba. Akizungumza na Clouds FM,...

Exclusive: Mazungumzo ya Serengeti Post na Sauti Sol kuhusu Albamu ya Midnight Train

Wizara ya Burudani ya Serengeti Post tumevuka mipaka na kupiga stori na kundi la muziki la Sauti Sol kutoka nchini Kenya tukiangazia haswa albamu yao ya Midnight Tra...

Ngwair, Nguli wa Michano asiyesahaulika Bongo

Mei 28, 2013 ilikuwa siku ya majonzi kwa mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva. Siku hii Tanzania ilipoteza moja ya vipaji vikubwa kuwahi kutokea katika tasnia ya Muzik...