Biashara

Ni kwa Namna Gani Sampuli za Bure Huishia Kugharimu Pesa Yako?

Fikiria siku ambazo ulikuwa unazunguka tu kwenye maduka makubwa ili uone duka gani siku hiyo linagawa sampuli za bidhaa zao bure. Sampuli za bure ziko kila mahali...

Jeff Bezos ang'atuka kuwa CEO wa Amazon

Muanzilishi wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos yupo mbioni kuachilia nafasi ya Mkurugenzi Mkuu baada ya kushikilia cheo hicho kwa takribani miaka 30 akiwa kama mjasiri...

Jack Ma Arudi Uraiani Baada ya Kimya cha Miezi Miwili

Baada ya kimya cha miezi miwili na nusu, mfanyabiashara mashuhuri nchini China, Jack Ma leo alionekana akihutubia baraza la walimu huku uchunguzi wa biashara zake...

Bilionea wa Samsung Afungwa Miaka Miwili na Nusu Jela

Mahakama ya Juu ya Seoul imemuhukumu Bilionea wa Kampuni ya vifaa vya kielectroniki Lee Jae-yong kifungo cha miaka 2 na nusu jela kwa tuhuma ya rushwa na utakatish...

IGP Sirro; Tunapeleleza kuhusu QNET tutawapa wananchi ukweli wa mambo

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha upelelezi kimeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kufanya upelelezi il...

Kuelekea Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka, Bei ya Petroli Yapungua Dar es Salaam

Ikiwa ni kuelekea mwisho wa mwaka, watumiaji wa vyombo vya moto jijini Dar es Salaam wanaelekea kumaliza mwaka na kuingia kwenye sherehe za Noeli na kufunga mwaka...