Afya

Virusi vya Corona: Hospitali za Marekani Zashuhudia Ongezeko la Wagonjwa kwa Idadi Iliyovunja Rekodi

 Idadi ya Wamarekani waliolazwa hospitalini na Covid-19 imefikia viwango vya juu vilivyovunja rekodi Jumanne, ambapo zaidi ya visa vipya milioni moja zilithibit...

Fahamu Umuhimu wa Kufanya Vipimo Vya Afya Mara kwa Mara

Dalili za magonjwa mengi yasiyoambukiza huchukua muda mrefu kuonekana, yaani muda kati ya mtu anapopata ugonjwa na muda wa dalili kuanza kuonekanahuwa ni mrefu ukili...

Hadithi ya Kweli ya Chiza Consolata (48), Mkimbizi kutoka Burundi, Mke na Mama wa Watoto Tisa Aliyesumbuliwa na Afya ya Akili

Mume wangu na mimi tulihamia pembezoni mwa Burundi kutafuta maisha mapya. Nilikwenda kumtembelea kaka yangu kwa siku kadhaa huko Bujumbura. Inavyoonekana, nilikuja k...

Mgonjwa wa Kwanza Kutibiwa UKIMWI Aaga Dunia

Mtu wa kwanza kutibiwa UKIMWI duniani afariki dunia mchana wa tarehe 30 Septemba baada ya  kuugua kansa. Timothy Ray Brown aliyefahamika kama mgonjwa wa Berlin...

Fahamu Safari Nzima ya Mbu Anavyosababisha Malaria, Upimaji wa Malaria Maabara.

Kitu cha kwanza unachotakiwa kufahamu ni kuwa, japo kuna mbu jike na dume, ni mbu jike pekee ndiye anayeng’ata. Mbu dume hang’ati. Hii ni sababu mbu jike huhitaji da...

Sababu za Damu Kuwepo Kwenye Mkojo (Hematuria)

Dalili za kujua kama kuna damu kwenye mkojo unaweza kuziona kwa kuangalia muonekano wa mkojo wako, kama mkojo wako una rangi ya pinki, nyekundu au rangi kama ya kola...